Nenda kwa yaliyomo

Abubakar Said Salim Bakhresa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abubakar Said Salim Bakhresa ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Abubakar Said Salim Bakhresa anasimamia Bakhresa Malawi Limited, Bakhresa Grain Milling (Rwanda), Bakhresa Grain Milling Limitada (Msumbiji) na Bakhresa South Africa (Pty) Limited. Abubakar Said Salim Bakhresa ana shahada ya kwanza ya Sayansi katika Usimamizi wa Biashara, somo kuu likiwa Fedha kutoka chuo kikuu cha George Town, Washington D.C USA. Anajihusisha zaidi na biashara za manunuzi na usindikaji ngano kwa ajili ya Bakhresa Group of Companies.[1] [2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abubakar Said Salim Bakhresa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.