Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Said Salim Bakhresa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Said Salim Bakhresa ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Mohamed Said Salim Bakhresa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, kiwanda kikubwa zaidi cha kusindika ngano nchini Uganda. Amehitimu masomo ya Sheria na Utunzaji Fedha kutoka chuo kikuu cha London South Bank, Uingereza.[1] [2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Said Salim Bakhresa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.