Yusuph Said Salim Bakhresa
Mandhari
Yusuph Said Salim Bakhresa ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Yusuph Said Salim Bakhresa ni Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media Limited. Pia, anashiriki kikamilifu katika shughuli za kila siku za Bakhresa Food Products Ltd.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yusuph Said Salim Bakhresa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |