Kumbukumbu zote zilizo wazi

Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).

Kumbukumbu
  • 02:16, 24 Aprili 2023 Jackieade majadiliano michango created page Daphne Sheldrick (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Daphne Marjorie Sheldrick''' (4 Juni 1934 – 12 Aprili 2018) alikuwa mwandishi, mhifadhi, na mtaalamu wa ufugaji, hasa ufugaji wa tembo yatima. Sheldrick alikuwa mwanamke wa kwanza kulea tembo wachanga wa Afrika kwa mafanikio na kuwafundisha jinsi ya kuishi katika mazingira ya asili. Alikuwa mwanzilishi wa Sheldrick Wildlife Trust, mojawapo ya programu zilizofanikiwa zaidi katika uokoaji na uhifadhi wa tembo yatima duniani. {{Infobox Person|jina=Da...') Tag: KihaririOneshi
  • 00:53, 24 Aprili 2023 Jackieade majadiliano michango created page Machafuko ya Stonewall (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Machafuko ya Stonewall''' yalianza siku ya 28 Juni 1969 wakati polisi wa New York walipovamia Stonewall Inn, ambayo ni klabu ya mashoga katika mtaa wa Greenwich Village huko jimbo la New York. Polisi waliwatoa wafanyakazi na wateja nje ya baa hiyo, jambo ambalo lilisababisha maandamano ya siku sita na makabiliano makali na polisi nje ya baa hiyo na maeneo jirani. Uvamizi huo wa polisi ulisababisha machafuko miongoni mwa watu...') Tag: KihaririOneshi
  • 00:37, 24 Aprili 2023 Jackieade majadiliano michango created page Mtumiaji:Jackieade (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Machafuko ya Stonewall''' yalianza siku ya 28 Juni 1969 wakati polisi wa New York walipovamia Stonewall Inn, ambayo ni klabu ya mashoga katika mtaa wa Greenwich Village huko jimbo la New York. Polisi waliwatoa wafanyakazi na wateja nje ya baa hiyo, jambo ambalo lilisababisha maandamano ya siku sita na makabiliano makali na polisi nje ya baa hiyo na maeneo jirani. Uvamizi huo wa polisi ulisababisha machafuko miongoni mwa watu...') Tag: KihaririOneshi
  • 04:49, 9 Desemba 2022 Jackieade majadiliano michango created page Shirika la Watoto wa Nakuru (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Shirika la Watoto wa Nakuru''' ni shirika lisilo la faida ambalo linajitahidi kupunguza umaskini na kuboresha elimu kwa watoto huko Nakuru, Kenya. Tangu mwaka 2009, shirika hili limesaidia zaidi ya watoto 2000 kupata elimu bora. Kutokana na kazi ambayo Shirika la Watoto wa Nakuru linafanya, kuna watoto 182 wanaosoma katika shule za sekondari au vyuo vya mafunzo vya ufundi stadi. Pia, watoto wa shule wenye uhitaji wamepatiwa milo zaidi ya 391,655 bure. Z...') Tag: KihaririOneshi
  • 02:25, 3 Novemba 2022 Jackieade majadiliano michango created page Chuo Kikuu Cha Mlima Kenya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Chuo Kikuu Cha Mlima Kenya''' ni chuo kikuu ambacho kimeidhinishwa na Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu, kutoa mfumo mzima wa elimu. Kilianzishwa na Profesa Simon Gicharu, ambaye ni mwanaelimu na mjasiriamali. Ni moja ya vyuo vikuu vya kibinafsi nchini Kenya. '''Eneo''' Kampasi kuu ya Chuo Kikuu cha Mlima Kenya ipo katika mji wa Thika, na kampasi zingine zipo Nairobi, Parklands, Mombasa, [[Nakuru]...') Tag: KihaririOneshi
  • 19:38, 18 Aprili 2022 Jackieade majadiliano michango created page Barack Obama Sr. (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Person|jina=Barack Obama Sr.|jina la asili=Baraka Obama|tarehe_ya_kuzaliwa=18 Juni 1934|mahala_pa_kuzaliwa=Wilaya ya Rachuonyo, Kenya|tarehe_ya_kufariki=24 Novemba 1982|mahali alipofia=Nairobi, Kenya|elimu=Chuo Kikuu cha Hawaii Chuo Kikuu cha Harvard}} '''Barack Hussein Obama Sr.''' alizaliwa tarehe 18 mwezi wa sita mwaka 1934 na alikufa tarehe 24 mwezi wa kumi na moja mwaka 1982. Yeye alikuwa mwanauchumi mkuu wa serikali ya Kenya. Alik...') Tag: KihaririOneshi
  • 15:47, 18 Aprili 2022 Akaunti ya mtumiaji Jackieade majadiliano michango iliundwa