Lynn Wilms

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lynn Anke Hannie Wilms (katikati)

Lynn Anke Hannie Wilms (alizaliwa 3 Oktoba 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uholanzi ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg ya wanawake katika ligi ya Frauen-Bundesliga pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Uholanzi.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lynn Wilms kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.