Lourdes
Mandhari
(Elekezwa kutoka Lurdi)
Lourdes (matamshi: [luʀd]) ni mji mdogo (wakazi 15,000) chini ya milima ya Pirenei nchini Ufaransa.
Inatembelewa na watu zaidi ya milioni 5 kwa mwaka kutoka na njozi za mwaka 1858, ambazo Kanisa Katoliki limethibitisha kwamba kweli Bikira Maria alimtokea msichana Bernadeta Soubirous.
Kanisa hilo limethibitisha pia miujiza 70 iliyotokana na maombezi ya Bikira Maria kuwa haielezeki kisayansi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Collectif, Lourdes de la Préhistoire à nos jours, Musée Pyrénéen, 1987.
- Laurence Catinot-Crost, Autrefois Lourdes, Éditions Atlantica, 2005.
- Sébastien Barrère, Petite histoire de Lourdes, Cairn, 2014.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Official Website of the Lourdes Sanctuaries
- Lourdes 2008 Archived 2007-03-15 at the Library of Congress Web Archives, Official site for the 150th anniversary of the apparitions
- Lourdes, by Robert Hugh Benson, 1914, from Project Gutenberg
- Catholic Association UK Ilihifadhiwa 4 Julai 2008 kwenye Wayback Machine., details more information on Lourdes.
- "Notre-Dame de Lourdes". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- [1] Ilihifadhiwa 13 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. Museum of Lourdes/Le-Petit-Lourdes Museum (in French)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lourdes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |