Nenda kwa yaliyomo

Lukas Hradecky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lukas Hradecky (alizaliwa 24 Novemba 1989)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufini, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ufini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lukás Hrádecky - Team - Eintracht Frankfurt". web.archive.org. 2017-08-08. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lukas Hradecky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.