Nenda kwa yaliyomo

Luigi Carlo Borromeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi lake ndani ya kanisa kuu la Pesaro.

Luigi Carlo Borromeo (Graffignana, 26 Oktoba 1893 - Pavia, 4 Julai 1975) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 30 Machi 1918.

Tangu 1951 hadi 1952 alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Lodi, akawa askofu wa Jimbo la Pesaro hadi kifo chake.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.