Nenda kwa yaliyomo

Lugowi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugowi
Lugowi wa kawaida (Cynodon dactylon)
Lugowi wa kawaida (Cynodon dactylon)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Manyasi)
Nusufamilia: Chloridoideae
Jenasi: Cynodon
Ngazi za chini

Spishi 9:

Lugowi (Cynodon spp.) (au ukoka) ni jina la spishi za nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Masuke kadhaa yanamea juu ya ubua kwa umbo wa vidole vya mkono.

Lugowi wa kawaidi unatoka Mashariki ya Kati kwa asili, lakini siku hizi hupandwa sana katika maeneo ya hewa ya joto. Spishi nyingine sita zinatokea Afrika kwa asili.