Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kinuristani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kinuristani ni jina la kundi la lugha hai zinazotumika hasa katika Nuristani (Afghanistan mashariki) lakini pia Pakistan magharibi. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiajemi, hivyo kati ya kundi kuu la lugha za Kihindi-Kiulaya.

Wasemaji wanahesabika kuwa 130,000 hivi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kinuristani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.