Lucy Lawless

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lucy Lawless
Jina la kuzaliwa Lucille Frances Ryan
Alizaliwa 2 Machi 1968
Miaka ya kazi 1989 – Hadi leo

Lucille Frances Ryan (amezaliwa 2 Machi 1968) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa New Zealand. Amepata kufahamika baada ya kucheza katika tamthiliya ya Xena: Warrior Princess na Battlestar Galactica. Lawless pia ni mwanamuziki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: