Nenda kwa yaliyomo

Lucy Burns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lucy Burns

Amekufa 22 Desemba 1966
Nchi Marekani
Kazi yake Mwana arakati
Lucy Burns mnamo 1913

Lucy Burns ( 28 Julai 187922 Desemba 1966 ) alikuwa mtetezi wa haki za wanawake wa nchini Marekani..[1] Alikuwa mwanaharakati mwenye shauku huko Marekani na Uingereza, alijiunga na wanamgambo. Burns alikuwa rafiki wa karibu wa Alice Paul, na pamoja hatimaye waliunda chama cha Taifa cha wanawake cha National Woman's Party .[2]

  1. Bland, 1981 (p. 8)
  2. Bland, 1981 (p. 8), Lunardini, 1986 (p. 9)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucy Burns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.