Mgambo
Mandhari
Mgambo inaweza kumaanisha
- Mgambo (Handeni) - kata ya Wilaya ya Handeni - Mkoa wa Tanga - Tanzania
- Mgambo (Unguja) - Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania
- mgambo - mkutano wa wazee peke yao
- mgambo - askari wa akiba asiyeajiriwa na jeshi