Lucas Hernandes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lucas Hernandes ni mchezaji wa soka wa timu ya klabu ya Atletico Madrid na taifa wa Hispania.

Lucas Hernandes (amezaliwa tarehe 14 Februari mwaka 1996) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Atletico Madrid iliyopo nchini Hispania, akicheza nafasi ya kiungo wa kushoto.

Lucas alijiunga Atletico Madrid mwaka 2007 pindi alipokuwa na miaka 11 mnamo tarehe 9 Novemba 2013 aliitwa na kocha Diego Simeon aweze kucheza kikosi cha kwanza cha Atletico Madrid ligi kuu ya Hispania La Liga.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Hernandes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.