Saksonia Chini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Lower Saxony)
Saksonia ya chini (Kijerumani:Niedersachsen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 7,9 kwenye eneo la 47 609 km². Mji mkuu ni Hannover. Waziri mkuu ni Stephan Weil (SPD).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Saksonia ya chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Hesse, Saksonia-Anhalt, Mecklenburg-Pomerini, Schleswig-Holstein, Hamburg na Bremen.
Miji mikubwa ni pamoja na Hannover, Braunschweig, Göttingen, Oldenburg na Wolfsburg.
Elbe na Weser ni mito muhimu zaidi.
Picha za Saksonia ya chini
[hariri | hariri chanzo]-
Hannover 2010
-
Lüneburger Heide
Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]- Niedersachsen - Official Website (also in English) Archived 2 Agosti 2002 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saksonia Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |