Louis Ameka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Louis Ameka (alizaliwa 3 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Gabon ambaye anacheza katika klabu iliyopo Ufaransa iitwayo Chamois Niortais na pia hucheza kama kiungo mshambuliaji.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alicheza mpira wa miguu katika klabu ya CF Mounana na Chamois Niortais. Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu yake ya taifa ya Gabon mwaka 2017.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Ameka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.