Lota Chukwu
Ugwu Lotachukwu Jacinta Obianuju Amelia (maarufu kwa jina la Lota Chukwu; alizaliwa Nsukka katika jimbo la Enugu nchini Nigeria[1]) ni mwigizaji ambaye alipata umaarufu baada ya kuwa nyota kwenye tamthilia ya Jenifa's Diary akiwa na Funke Akindele, Juliana Olayode, Falz ambapo alicheza kama "Kiki",[2], Jenifa. Pia ni mpenzi wa michezo ya Yoga.[3]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Lota ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wanne katika familia yake. Wakati wa utoto wake alikulia katika mji wa Benin. Lota amesomea masuala ya kilimo katika chuo kikuu cha University of Benin .
Kazi yake
[hariri | hariri chanzo]Kabla ya kuanza kazi ya uigizaji, Lota alikuwa mwanamitindo na alishiriki tuzo ya kuwania mwanamke mrembo kuliko wote nchini Nigeria mwaka 2011 akiwakilisha jimbo la Yobe. [4]
Alianza kazi ya uigizaji mwaka 2011 na kujipatia umaarufu kupitia filamu ya Jenifa's Diary|Jenifa's Dairy [5].
Filamu zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Mwongoza filamu |
---|---|---|
2020 | When Life Happens | Okey Ifeanyi |
Deadly Instincts | Yemi Morafa | |
The Perfect Plan | Uzodinma Okpechi | |
Wind Chasers | Uzodinma Okpechi | |
Spotlight | Sunkanmi Adebayo | |
Falling | Niyi Akinmolayan | |
Dognapped[6] | Kayode Kasum | |
Fine Girl | Uduak Isong Oguamanam | |
The Arbitration[7] | Niyi Akinmolayan | |
2015-2018 | Jenifa's Diary[8] | Funke Akindele |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lota Chukwu biography and Nollywood career achievements", Naij, July 13, 2017.
- ↑ "Lota Chukwu". IMDb. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kemisola Ologbonyo. "'I Followed My Friends To Jenifa's Diary Audition To Cheer Them Up' – Lota Chukwu 'Kiki' Of Jenifa's Diary". Star Gist.
- ↑ "The Most Beautiful Girl in Nigeria 2011: 34 Beauties Vie for the Crown – Vote for Your MBGN 2011-BellaNaija Miss Photogenic". BellaNaija. Juni 15, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Watch Ozzy Agu, Lota Chukwu, Yvonne Jegede in trailer". Pulse NG. Aprili 1, 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-25. Iliwekwa mnamo 2020-12-19.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Must Watch! Tope Tedela, Julius Agwu, Odunlade Adekola & More star in Live-Action Film "Dognapped"". BellaNaija.
- ↑ "Lota Chukwu Ready For Nollywood Business". Independent Newspapers (Nigeria).
{{cite web}}
: Text "IndependentNg" ignored (help) - ↑ "Jenifa's Diary". irokotv.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-22. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2018.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)