Nenda kwa yaliyomo

Liri Berisha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Liri Berisha

Liri Berisha (alizaliwa 5 Julai 1949) ni daktari wa watoto kutoka Albania na rais wa Taasisi ya Watoto ya Albania. Pia ni balozi wa UNICEF nchini Albania.

Yeye ni mke wa Sali Berisha, Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Albania. Wana watoto wawili, binti aitwaye Argita na mwana aitwaye Shkëlzen.[1]

  1. FAKSIMILE: A e ka korrigjuar më në fund emrin e nënës në Gjendjen Civile, zonja Berisha? [Facsimile: Did Mrs. Berish correct her mother's name in the Civic Office registers?] (kwa Albanian), Gazeta Dita, 2015-05-08, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-12-08, iliwekwa mnamo 2015-11-28, Liri Berisha është e bija e Rexhepit dhe Milicës. Rexhep Ramaj është një shqiptar i Malit të Zi dhe është martuar hershëm me shtetasen "Milica", mbiemri i vajzërisë të së cilës është ende i pakonfirmuar tërësisht. Por në përpjekje për të mësuar më shumë, zbuluam se në prezantimin zyrtar të kryeministrit të Shqipërisë, zonja Liri Berisha përshkruhet si e bija e Rexhep Ramajt dhe Milica Bulatoviçit.{{citation}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liri Berisha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.