Nenda kwa yaliyomo

Lilian Bach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lilian Bola Bach ni mwigizaji na mwanamitindo wa Nigeria.[1]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Lilian alizaliwa Lagos mama yake akiwa na asili ya kabila la Wayoruba na baba yake akiwa Mpolandi.[2][3] Kulingana na kazi aliyokuwa akifanya baba yake,Lilian alijikuta akiishi sehemu mbalimbambali za nchi,alihitimu masomo yake ya elimu ya msingi katika shule ya jeshi , Port Harcourt na shule ya upili ya shule ya sekondari Idi Araba , Lagos. [4] baba yake alifariki kipindi akiwa na umri wa miaka 10.

Taaluma na uanamitindo[hariri | hariri chanzo]

Lilian alianza kung'ara mnamo mwaka 1990 kama mwanamitindo,akionekana kama binti mlimbwende zaidi nchini Nigeria huku akitokea katika matangazo mbalimbali ya biashara katika runinga,alianza kuonekana katika filamu mwaka 1997akiigiza filamu katika lugha ya Kiyoruba na Kiingereza .[5]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • Eletan (2011)
 • High Blood Pressure (2010)
 • Eja Osan (2008)
 • Angels of Destiny (2006)
 • The Search (2006)
 • Joshua (2005)
 • Mi ose kogba (2005)
 • A Second Time (2004)
 • Big Pretenders (2004)
 • Ready to Die (2004)
 • Broken Edge (2004)
 • Lost Paradise (2004)
 • Ogidan (2004)
 • The Cartel (2004)
 • True Romance (2004)
 • Market Sellers (2003)
 • Not Man enough (2003)
 • Outkast (2001)
 • Married to a Witch (2001)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Lilian Bach exclusive". Golden icons. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 2. "Lilian Bach". Ghana visions. 4 Novemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-08. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 3. Ajibade Alabi. "How I grew up in Lagos Ghetto-Lilian Bach", Daily Newswatch, 22 June 2014. Retrieved on 25 June 2014. Archived from the original on 26 June 2014. 
 4. "Celebrity Birthday:Lilian Bach". Nigeria films. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2014.
 5. "Lilian Bach. I have no regrets". Staerbroak news. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lilian Bach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.