Leroy Gopal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leroy Gopal (alizaliwa 6 Julai 1979) ni mwigizaji, mchekeshaji na mwigizaji sauti raia wa Zimbabwe.[1][2]alifahamika Zaidi kwa uhusika wake kwenye filamu ya Yellow Card na Strike Back.[3][4]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa huko Harare, Zimbabwe.[5] Wakati Gopal akiwa na umri wa miaka 14, baba yake alifariki. Ana dada mkubwa mmoja anaeitwa Claudia Gopal Muvuti ni mmiliki wa jina la zamani la Iron Woman Zimbabwe. Alimaliza elimu ya shule ya msingi kutoka Blackiston na baadae elimu ya sekondari kutoka Gateway High School and Prince Edward Senior School. [3] ana shahada katika utendaji wa moja kwa moja na picha ya mwendo kutoka AFDA, shule kwa uchumi bunifu .[4] ni moja kati ya wanafunzi waliowahi kushinda tuzo ya kifahari ya M-NET mwanafunzi wa mwaka (2003) na (2004) mfululizo.[1]

Gopal alioa msichana wa Afrika Kusini, Keletso Molefe tangu mwaka 2017.[6] wawili hawa wana watoto watatu: Kiki Leroy Gopal, Didi Tadiwa, and Mimi Naima.[3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2000, alitengeneza sinema yake ilifanana na filamu ya Yellow Cardambapo alicheza jukumu kuu la mchezaji mpira 'Tiyane Tsumba'. kutoka 2006 mpaka 2007, alicheza jukumu la 'Thabang Ngema' kwenye SABC 3 soap opera njia moja ambayo ikawa maarufu sana.[4] In 2012, he appeared in SABC 1's sitcom, Ses'Top La in the role as 'Oleshe'. Katika 2013, alishinda tuzo ya mwigizaji bora katika jukumu la kuchekesha South African Film and Television Awards katika jukumu hili .[5] na kufanikiwa na kuanzishwa kama mwigizaji aliekamilika na kuanzishwa mwigizaji , aliajiriwa kuigiza katika mwendelezo wa filamu Mzansi Love: Kasi Style mwaka 2013. Jukumu lake likiwa ni Kenyan la mwanaume jina lake ni 'Joshua Pembe'.[3] aliigiza pia kwenye kipande cha Through the Flight of a feather ambacho kilionyeshwa kwenye Cannes Film Festival vile vile .[1]

Katika mwaka mmoja aliigiza katika filamu ya Team 8 as a Congolese dictator 'Tonga'. Pia aliweza kuonekana kwenye mwendelezo wa TV filamu Mzansi Magic kwa jukumu la 'Abomama' ambayo alipata umaarufu mkubwa wa mshiriki katika filamu nzima .[4] katika 2014,alicheza kwenye mfululizo wa filamu ya kisiasa ya SABC1 Ihawu le Sizwe. Baadae alianzisha kampuni ya burudani ya kituo cha uimbaji nyimbo za zimbabwe'. Leroy pia aliongoza video ya muziki wa Zimbabwe kwa waimbaji Audius Mtawarira.[3]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu uhusika Aina Ref.
Through the Flight of a Feather Filamu
Smart Rewards Ride Show Tamthilia
1986 Paraffin Tamthilia
1993 Generations Jackson Tamthilia
1996 Adventure Unlimited Filamu
1998 Choose Freedom Filamu
2000 Yellow Card Tiyane Tsumba Filamu
2003 Scarred Instinct Chidzonga Filamu fupi
2004 Four Days Joe Filamu fupi
2004 Cut Skinny Filamu fupi
2005 Binnelanders Tamthilia
2005 Hush Felix Tamthilia
2006 Backstage Duma Tamthilia
2006 One Way Thabang Ngema Tamthilia
2007 Andre Metstrepie Dave Filamu fupi
2007 Home Affairs Remy Tamthilia
2007 Jacob's Cross Jacab's Lawyer Tamthilia
2008 Surprise! Zeb Agent Filamu
2009 Siren's Feast Filamu
2010 Hola Mpinji Doctor Chinyamurindi Tamthilia fupi
2010 Night Drive Tafadzwa Filamu
2011 Mzansi Love Home Affairs Tamthilia
2012 The Way Tamthilia
2012 Ses'Top La Tamthilia
2013 Strike Back Medical Orderly Tamthilia
2013 Zabalaza Tamthilia
2013 The Game Fact Show Tamthilia
2013 The Lost Diaries of Livingstone Arbian Slave Trader Filamu
2014 Seal Team Eight: Behind Enemy Lines General Ntonga Filamu
2014 Check-Coast Tamthilia
2014 Kite Doctor Filamu
2014 Ihawu le Sizwe Tamthilia
2015 Making A Killing Bosco Tamthilia fupi
2016 The Crisis Caravan Seleka Sergeant Filamu
2017 Harry's Game Tanner Filamu
2017 Revolt Jeandre Filamu [7]
2017 Happy Family Detective Mpilo Tamthilia
2017 All About Love Filamu
2017 It's OK We're Family Tamthilia
2017 The Wall Filamu
2018 Ice N'Koulou Filamu
2018 Beautifully Broken Matisse Filamu
2018 Mzansi Love: Kasi Style Tamthilia
2018 Abomama Tamthilia [8]
2019 #Karektas Tamthilia
2019 Jozi-H Red Cake - Not the Cooking Show Tamthilia
2019 Blackout Journalist Short film

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Leroy Gopal: Personal Biography:". legends. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-29. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Leroy Gopal: Born: 1980". British Film Institute. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 "Leroy Gopal biography". briefly. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 "Leroy Gopal bio". TVSA. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. 5.0 5.1 "Leroy Gopal". pindula. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Leroy Gopal ties the". newsday. Iliwekwa mnamo 24 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Revolt". Movie Insider. movieinsider.com. Iliwekwa mnamo 7 January 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. Zeeman, Kyle (3 January 2019). "This is how Abomama brought scandal to church". TimesLIVE (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2019-07-13.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leroy Gopal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.