Leïla Maknoun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leïla Maknoun (alizaliwa 19 Januari 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya Apulia Trani fc huko Italia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia. Alizaliwa nchini Ufaransa, aliwakilisha nchi yake kimataifa tangu akiwa na umri wa miaka 16. [1] [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Footofeminin.fr - Leïla Maknoun - Championnat de France de D2 2016-2017 - Groupe A". 
  2. Vitale, Christian (2022-01-21). "Leila Maknoun, Apulia Trani: "Il mio obiettivo è conquistare la Serie B con questa maglia"". Calcio femminile italiano (kwa it-IT). Iliwekwa mnamo 2022-05-24. 
  3. Petralla, Alessio. "Maknoun da una victoria heroica a Apulia Trani. La Serie B ahora más cerca", 22 May 2022. Retrieved on 24 May 2022. (it) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leïla Maknoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.