Lathifah Chande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lathifah Hassan Chande)
Jump to navigation Jump to search

Lathifah Hassan Chande (amezaliwa 18 Desemba 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kuanzia mwaka 2015 hadi 2020 [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 322 Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://peoplepill.com/people/riziki-said-lulida/