Lathifah Chande
Mandhari
Lathifah Hassan Chande (amezaliwa 18 Desemba 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kuanzia mwaka 2015 hadi 2020 [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 322 Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ https://peoplepill.com/people/riziki-said-lulida/
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |