Lango:Sayansi/Wasifu Uliochaguliwa
Mandhari
Erwin Schrödinger (12 Agosti, 1887 – 4 Januari, 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Paul Dirac alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Katika mwaka wa 1935, baada mawasiliano na rafikiye binafsi Albert Einstein, alipendekeza majaribio ya fikra ya Schrödinger's cat.