Lameck Aguta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lameck Aguta (Alizaliwa 10 Oktoba 1971) ni mstaafu wa mbio za riadha nchini Kenya. Alikuwa mshindi wa Marathoni ya Boston ya 101 mnamo mwaka 1997 kwa muda wa saa 2:10:34. Alishiriki pia katika mbio za marathon za wanaume kwenye Olimpiki ya miaka ya 1996. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lameck Aguta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.