Nenda kwa yaliyomo

Ladi Kwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Ladi Kwali Kitengeza chungu kwa ufinyanzi

Ladi Kwali (1925 - 12 Agosti 1984) alikuwa msanii wa sanaa ya ufinyanzi wa Nigeria. [1]

Ladi kwali alizaliwa kwenye kijiji cha Kwali iliyopo mkoa wa Gwari inayopatikana kaskazini mwa Nigeria, ambapo ufinyanzi ulikuwa utamaduni wa wanawake.[2] Alijifunza ufinyanzi akiwa mdogo akifundishwa na shangazi yake kwa kutumia utamaduni wa ufinyanzi wa kuzungusha. Alitengeneza viungu vikubwa kwa ajili ya maji,kupikia,vibakuli na chupa . Aliremba kwa mitindo mbalimbali kama vile nge, mijusi,mamba,vinyonga,nyoka na samaki.[3] Mitindo yake ya vyombo vya udongo zilianzia zama za kale. [4] [4] Kulingana na utamaduni wa kale, zilichomwa na kukaushwa. Vyungu vyake vilionekana kwa uzuri wake wa mitindo na urembo na alijulikana kimkoa kama mfinyanzi mahiri. [5] Baadhi ya kazi zake zilihitajika na Emir wa Abuja, Alhaji Sulaimanu Barau ambapo zilionekana nyumbani kwake na Michael Cardew mwaka 1950. [6]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika kijiji kidogo cha kwali Halimashauri ya kwali mwaka 1925.( wanahistoria wengine walionyesha yakuwa, mwaka wa kuzakuliwa kwake ni 1920). [7]). Alikuwa katika familia yeneye mila na desturi ya wanawake kujihusisha na ufinyanzi. [7] Mallam Mekaniki Kyebese, mdogo wake Ladi Kwali alisema yakuwa, alikuwa mahiri katika Sanaa ya ufinyanzi ambapo kazi zake ziliuzwa hata kabla ya kufika sokoni.[7]

Kazi yake

[hariri | hariri chanzo]

Michael Cardew,ambaye alikuwa ni afisa mfinyanzi katika kamati ya biashara na viwanda kwenye serikali ya ukoloni wa Nigeria mwaka 1951, alianzisha kituo cha ufinyanzi Suleja afu kuitwa Abuja Aprili 1952.

[4] In 1954, Ladi Kwali joined the Abuja Pottery as its first female potter.[8] Alijifunza utengenezaji wa magurudumu ya mfinyanzi,vyombo vya udongo,uchomaji wa uzalishaji wa saggar na utumiaji wa udogo wa kuteleza [4] Alitengeneza bakuli kwa kutumia urembo wa graffito. [3] Mpaka mnamo mwaka 1965 Cardew alipoachia nafasi yake, kituo kiliwavutiwa wanawake wanne kutoka Gwari : Halima Audu, Lami Toto, Assibi Iddo, na Kande Ushafa. [2] Wanawake hawa walifanya kazi kwa pamoja kwenye mmoja warsha iliyoitwa Dakin Gwari. . [3] Waliunda maumbo na kukwangua ndani ya viungu kwa magamba ya konokono.


[4] Walirithi utamaduni wa utengenezaji kwa kuchanganya na udongo mweupe na madini ya miamba ya feldspar yenye kuleta mvuto katika mapambo yake. [4] Baad ya hapo, vyungu huchomwa moto na sehemu zenye mitelezo huonekana kwa rangi ya kijani mpauko. [3] [9] [2] Kutoka kwenye utamaduni wake wanawake walikua wenye jukumu la ufinyanzi, Ladi kwalis kwali kazi zake zilikuwa ni kazi za kisanii. [10]

Viungu vyake vilishilikishwa kimaonesha kimatifa kwenye ufinyanzi Abuja mnamo mwaka 1958,1959 na 1962 kuongozwa na Cardew.Mwaka 1961 kwali alifanya maonesho kwenye chuo cha royal,Farnham na Wenford bridge ubritish. [2] pia alitoa maenesho ufaransa na ujerumani kwa kila kipindi .mwaka1972 alitalii marekani pamoja na Cardew kazi yake pia ilioneshwa landani Berkeley Galleries. [11]

Tuzo na mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Kwali alipewa tuzo ya MBE (Order of the British Empire) mwaka 1962 katika siku yake ya kuzaliwa.[12]

Mwaka 1977, alipewa shahada ya uzamivu ya heshima katika chuo kikuu cha Ahmadubello zaria.[13]

Mwaka 1980, serikali ya Nigeria kupitia ofisi ya wizara ya jamhuri ya Nigeria walimtunuku tuzo ya Nigerian National Order of Merit Award[14] ambayo ni tuzo ya juu ya heshima ya kitaifa katika mafanikio ya taaluma.[13] Alipokea tuzo ya kitaifa ya heshima ya uafisa kutoka Order of the Niger mwaka 1981. [13] Picha huonekana katika noti 20 ya Nigeria. Barabara ya Mtaa mkuu wa Abuja ulipewa jina la Ladi Kwali.[13] [13]

  1. "15 Facts about Ladi Kwali: The Pottery Woman on N20 Note - ThisTrend Blog". 2017-03-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-17. Iliwekwa mnamo 2018-08-06. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 Vincentelli, Moira (2000). Women and Ceramics: Gendered Vessels. Manchester, UK: Manchester University Press. ku. 58–76. ISBN 978-0719038402.
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 Cardew, Michael (Aprili 1972). "Ladi Kwali: The Potter from England Writes on the Potter from Africa". Craft Horizons (32): 34–37.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 4.5 Slye, Jonathon (Oktoba 1966). "Abuja Stoneware". Ceramics Monthly: 12–16.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Thompson, Barbara (6 Februari 2007). "Namsifueli Nyeki: A Tanzanian Potter Extraordinaire". African Arts. 40 (1): 54–63. doi:10.1162/afar.2007.40.1.54. ISSN 0001-9933. S2CID 57571884.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "History of Ladi Kwali, the Famous Nigerian Potter". Abuja Facts. 8 Februari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. 7.0 7.1 7.2 Okunna, E. (1 Januari 2012). "Living through two pottery traditions and the story of an icon: Ladi Kwali". Mgbakoigba: Journal of African Studies. 1. ISSN 2346-7126.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Ladi Kwali, Nigerian Potter, iliwekwa mnamo 18 Januari 2016{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Ladi Kwali – http://www.studiopottery.com/cgi-bin/mp.cgi?item=251 Ilihifadhiwa 24 Machi 2020 kwenye Wayback Machine.
  10. Reed, Lucy (1 Januari 2002). "Review of Women and Ceramics: Gendered Vessels". Studies in the Decorative Arts. 9 (2): 159–163. doi:10.1086/studdecoarts.9.2.40663018. JSTOR 40663018.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Archive, Aberystwyth Ceramics Collection and. "Ladi KWALI (Nigeria) The Ceramic Collection Ceramic Collection and Archive – Aberystwyth University of Wales 27 March 2016". ceramics-aberystwyth.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Supplement to the London Gazette", 25 May 1962. 
  13. 13.0 13.1 13.2 13.3 13.4 "History of Ladi Kwali, the Famous Nigerian Potter | Abuja Facts". www.abujafacts.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "Nigerian National Order Of Merit Award" Ilihifadhiwa 27 Januari 2017 kwenye Wayback Machine., Frontiers News, 5 December 2013.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ladi Kwali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.