Kwassa Kwassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwassa Kwassa
Kwassa Kwassa Cover
Studio album ya Kanda Bongo Man
Imetolewa 1989
Aina Soukous, muziki wa dansi
Mtayarishaji Kanda Bongo Man
Wendo wa albamu za Kanda Bongo Man
Sai Liza
(1988)
Kwassa Kwassa
(1989)
Isambe Monie
(1990)


"Kwassa Kwassa" ni jina la albamu ya saba kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Albamu imetoka mwaka wa 1989. Nyimbo kali zilizotamba kutoka katika albamu ni pamoja na Liza, Sai na Lela-Lela.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Na. Jina la wimbo Dakika
1. Sai 6:24
2. Cantique 5:15
3. Naloti 5:14
4. Lowazo 6:12
5. Lela-Lela 6:14
6. Bedy 5:12
7. Liza 6:47
8. Lisote 4:47
9. Belle Amie 7:27
10 Ebeneza 5:40

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]