Zing Zong
Mandhari
Zing Zong | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Kanda Bongo Man | |||||
Imetolewa | 1991 | ||||
Aina | Soukous, muziki wa dansi | ||||
Mtayarishaji | Kanda Bongo Man | ||||
Wendo wa albamu za Kanda Bongo Man | |||||
|
"Zing Zong" ni jina la albamu ya saba kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Albamu imetoka mwaka wa 1991. Nyimbo kali zilizotamba kutoka katika albamu ni pamoja na Isambe, Wallow na Monie.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Na. | Jina la wimbo | Dakika |
---|---|---|
1. | Zing-Zong | 4:55 |
2. | Isambe | 5:51 |
3. | Mosali | 4:53 |
4. | Wallow | 4:56 |
5. | Monie | 4:48 |
6. | Yonde Love Me | 4:45 |
7. | Yesu Christu | 5:15 |
8. | Freres Soki | 4:50 |
9. | Kadhi | 5:20 |