Kwanzanians
Mandhari
Kwanzanians | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Kwanza Unit | |||||||||||
Imetolewa | 2000 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1997-98 | ||||||||||
Aina | Political rap, rap ya kujitambua, hip hop | ||||||||||
Lebo | RAHH Records | ||||||||||
Mtayarishaji | Master Jay Ludigo P. Funk Rhymson |
||||||||||
Wendo wa albamu za Kwanza Unit | |||||||||||
|
Kwanzanians ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 2000 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop (RAHH). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Msafiri na Runtingz. [1]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Problems listening to this file? See media help. |
|
|
Problems listening to this file? See media help. |
- Intro
- Kwanzanianz
- Inahouse
- Interlude
- Beyond Belief
- Interlude
- Msafiri
- Friction
- Interlude
- Man To Man
- Check Navyoflow
- Interlude
- Beyond Belief (Remix)
- Acha
- Interlude
- Kamari
- Yippy Yapping
- Kivingine
- Interlude
- Nakuja
- Runtingz
- So Why
- Outtro
- Beyond Belief (Posse Remix)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kwanzanians katika Discogs
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kwanzanians kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |