Tropical Teqniks
Mandhari
Tropical Teqniks | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Kwanza Unit | |||||
Imetolewa | 1996 | ||||
Imerekodiwa | 1995/96 | ||||
Aina | Political rap, rap ya kujitambua, hip hop | ||||
Lebo | RAHH Records | ||||
Mtayarishaji | Master Jay Ludigo P. Funk Rhymson |
||||
Wendo wa albamu za Kwanza Unit | |||||
|
Tropical Teqniks ni jina la albamu ya pili kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 1996 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop (RAHH). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Suckers, Nata, Play Ya Part na nyingine kibao. [1] Hii ndiyo albamu ya kwanza ya hip hip nchini Tanzania kutolewa katika CD.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.
- A1 - Tekniqs
- A2 - Zipi?
- A3 - Suckers
- A4 - Nata
- A5 - One 4 Me
- B1 - Randa
- B2 - Dedication (4 A Late Homie)
- B3 - Play Ya Part
- B4 - Shout Out
- B5 - Freestyle (Live August 1996)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tropical Teqniks katika Discogs
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tropical Teqniks kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |