Kundi la Sameer
Jump to navigation
Jump to search
Kuhusu[hariri | hariri chanzo]
Kundi la Sameer ni kundi kubwa la kampuni za Afrika zilizo na makao yao nchini Kenya. Sameer imejihusisha na ukulima,sekta ya viwanda,teknolojia, ujenzi ,usafiri na fedha. Ofisi za kampuni hii zinapatikana mjini Nairobi na imeorodheshwa katika Soko la Hisa la Nairobi.
Kampuni shirika[hariri | hariri chanzo]
Machi 2007: Kampuni shirika za Kundi la Sameer ni:
- Benki ya Equatorial Commercial
- Sasini [1]
- Dimension Data [2]
- Swift Global Kenya [3] Archived Januari 11, 2016 at the Wayback Machine.
- Kenya Data Networks [4] Archived Desemba 18, 2009 at the Wayback Machine.
- Ryce East Africa
- Yansam Motors
- Celtel Kenya/Celtel [5]
- Sameer Africa [6] Archived Septemba 3, 2011 at the Wayback Machine. - waundaji wa gurudumu - walikuwa wanaitwaa Firestone East Africa
- H Young [7] - uhandisi na ujenzi
- Eveready East Africa
- Sameer Industrial Park
- Ryce East Africa - Sekta ya uhandisi.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti rasmi ya Kundi la Sameer
- Orodha ya kampuni husika-tovuti ya Kundi la Sameer Archived Julai 16, 2011 at the Wayback Machine.