Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Soko la Hisa la Marekani 1929

Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929 (ing. Wall Street Crash of 1929) ndilo tukio la awali la Mdororo Mkuu wa uchumi wa Marekani na sehemu nyingine za dunia, kipindi kibaya sana kwa watu wengi kwa kuwa walipoteza kazi zao, wakawa maskini na kutokuwa na makazi.

Bei za hisa za makampuni mengi katika Soko la Hisa la Marekani zilianguka ghafla kuanzia tarehe 24 Oktoba hadi 29 Oktoba 1929. Mshtuko huo ulifuatwa na kufilisika kwa theluthi moja ya benki za Marekani.

Ile siku ambayo imesemwa kuwa mwanzo wa Mdororo Mkuu inaitwa "Black Tuesday". Ndiyo iliyomaliza utajiri wa Roaring Twenties.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929 kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.