Kristen Welker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kristen Welker
Kirsten Welker
Kirsten Welker
Alizaliwa 1 Julai 1976
Nchi Marekani
Kazi yake mwandishi wa habari

Kristen Welker (alizaliwa 1 Julai 1976)[1] ni mwandishi wa habari katika kituo cha televisheni NBC Habari. Ni raia wa Marekani mkazi wa mji wa Washington, D.C.[2].

Welker katika majukumu yake ya kazi hushirikiana kikamilifu na Peter Alexander, majukumu yao makubwa ni kama viongozi wasimamizi wa mtandao katika uandishi. [3] Ushirikiano wao pia unakwenda mpaka kwenye nanga ya habari iitwayo wikendi leo.

Mwanadada huyu pia alishiriki kuendesha na kuongoza mdahalo kati ya Donald Trump rais aliyepita wa Marekani na Joe Biden rais wa sasa wa Marekani mnamo Oktoba 22, 2020.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Welker, Kristen [@kwelkernbc] (July 1, 2015). "Thanks so much! "@ happy. We share with Pam Anderson and Lady Diana. Solid company."" (Tweet). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 2, 2020. Iliwekwa mnamo April 6, 2016 – kutoka Twitter.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Kristen Welker". NBC News. Iliwekwa mnamo April 18, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Weprin, Alex (2021-01-08). "NBC News Taps Kristen Welker, Peter Alexander as Chief White House Correspondents". The Hollywood Reporter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-30.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  4. Bhardwaj, Naina. "Democrats and Republicans are praising Kristen Welker for keeping control in the final debate between Trump and Biden". Business Insider. Iliwekwa mnamo 2020-10-23. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristen Welker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.