Klagenfurt am Wörthersee
Mandhari

Klagenfurt (Kijerumani: Klagenfurt am Wörthersee; Kislovenia: Celovec ob Vrbskem jezeru) ni mji mkuu wa Karinthia nchini Austria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 94.000.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Klagenfurt am Wörthersee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |