Kiwambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiwambo kizee.

Kiwambo ni sehemu ya tarakilishi au ya televisheni kinachoonyesha picha. Kiwambo kina kioo kilichounganishwa kwenye kadi mchoro.