Kadi mchoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kadi mchoro inaitwa ATI Radeon 5970

Kadi mchoro ni sehemu ya tarakilishi inayotoa picha katika kiwambi cha tarakilishi.

Kadi mchoro za kwanza zilizoumbwa zilikuwa 2D. Kadi mchoro za 3D za kwanza ziliumbwa mwaka wa 1981.