Kisiwa cha Ulwile
Mandhari
Kisiwa cha Ulwile ni kati ya visiwa vya mkoa wa Rukwa, magharibi mwa Tanzania.
Kinapatikana katika ziwa Tanganyika.
Kwa sasa kiko katika kata ya Mkinga, wilaya ya Nkasi, kikiwa kimeunganishwa na kisiwa kidogo cha Lupita; hapo nyuma kisiwa hicho kilikuwa sehemu ya kata jirani ya Kipili ila kwa sasa kiko na kijiji cha Manda Ulwile/Uhuru ndani ya kata ya Mkinga, ambacho kinamilikiwa na mwekezaji Mzungu ambaye amejenga hoteli iitwayo Lupita Island. Katika kijiji hicho kuna maisha ya kijamaa sana, karibia kila mtu ni ndugu wa mwingine kidamu na kifamilia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ulwile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |