Kisiwa cha Ukara
Mandhari
Kisiwa cha Ukara (au Bukara) ni kisiwa kimojawapo cha mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa, kilometa 10 kaskazini kwa kisiwa cha Ukerewe ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote vya ziwani katika bara la Afrika.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Detailed map of Ukerewe and Ukara islands Archived 2012-12-09 at Archive.today
- Mwanza Guide commented photo gallery of Ukara Island Archived 14 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- "Bukara", New York Times, June 20, 1920. Article on Ukara Island's economy.
- "The Lesson of Ukara", E. Berton Spence, The Free Market (Ludwig von Mises Institute monthly), December 1999.
- Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ukara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |