Kisiwa cha Ukerewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

2°01′45″S 33°00′35″E / 2.029300°S 33.009796°E / -2.029300; 33.009796

Ukerewe kusini mashariki mwa Ziwa Viktoria.

Kisiwa cha Ukerewe ndicho kisiwa kikuu cha Tanzania ambacho kinapatikana katika Ziwa Viktoria, kiasi kwamba hilo linaitwa pia "Ziwa Ukerewe".

Ndilo la pili duniani kwa ukubwa.

Kikiwa na eneo la Km2 530 hivi, ndicho pia kisiwa kikuu cha Afrika kisicho cha baharini.

Pamoja na visiwa vya jirani kinaunda Wilaya ya Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza.

Wakazi wake ni 345,147.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ukerewe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.