Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Simambaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Simambaya ni kati ya visiwa vya funguvisiwa la Lamu, kaunti ya Lamu, nchini Kenya.

Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]