Kipkemboi Kimeli
Mandhari
Kipkemboi Kimeli (Novemba 30, 1966 - Februari 6, 2010) alikuwa mwanariadha wa Kenya wa mbio ndefu ambaye alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Olimpiki ya Seoul mwaka 1988.
Kimeli alifariki Albuquerque, New Mexico kutokana na matatizo ya nimonia na kifua kikuu mnamo Februari 6, 2010.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kenyan Olympic Medalist Dies", February 9, 2010.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipkemboi Kimeli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |