Kipindi cha mzunguko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipindi cha mzunguko ni muda ambapo kiolwa cha angani kinazunguka kiolwa chengine mara moja. Katika elimuanga, huhusika na sayari au visayari vizungukavyo Jua, miezi izungukayo sayari, sayari-nje zizungukazo nyota nyingine, au nyota maradufu. Pia huhusika na muda wa satelaiti au vipimaanga vinazunguka kiolwa cha angani mara moja.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipindi cha mzunguko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.