Kipeto hudumizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kipeto hudumizi cha Windows XP

Katika utarakilishi, kipeto hudumizi (kwa Kiingereza: Service Pack) ni mkusanyo wa visasisho, marekebisho na maendeleo ya programu wa kupelekwa katika kifurushi data.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).