Kifurushi data
Katika utarakilishi, kifurushi data (kwa Kiingereza: data packet au network packet) ni elementi ya msingi katika urushaji wa taarifa kwenye mtandao. Kwa mfano, kurasa za mtandao na barua pepe zinatumwa kwa ajili ya vifurushi data.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).