Kinky Friedman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Samet "Kinky" Friedman (alizaliwa mnamo Novemba 1, 1944)[1] ni mwanamuziki kutoka nchini marekani, mwandishi wa nyimbo na riwaya,mchekeshaji, mwanasiasa na pia ni mwandishi wa zamani wa gazeti la Texas Monthly.

Friedman alikuwa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya ugavana katika jimbo la Texas na kupata asilimia 12.6 ya kura zote, na kujiweka katika nafasi ya nne kati ya wagombea sita walioshiriki uchaguzi huo.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa kama Richard Samet Friedman huko Chicago mnamo mwaka 1944 kwa wazazi wa kiyahudi Dr. S. Thomas Friedman na mkewe Minnie (Samet) Friedman.[2][3][4] Wazazi wake wote walikuwa ni watoto wa wayahudi wa kirusi waliokuwa wakimbizi. Wakati Friedman alivyokuwa mdogo familia yake ilihamia kwenye ranchi huko Kerrville, Texas.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sullivan, Mary Lou (2017-10-01). Everything's Bigger in Texas: The Life and Times of Kinky Friedman (in en). Hal Leonard Corporation. ISBN 978-1-5400-0499-4. 
  2. Jonathan Bernstein, Jonathan Bernstein (2018-11-03). Kinky Friedman Comes Home (en-US). Rolling Stone. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
  3. Kinky Friedman on how Willie Nelson, misery shaped his new music (en-US). Santa Rosa Press Democrat (2018-04-19). Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
  4. "Kinky Friedman, Whose Life Reads Like a Book With a Most Unlikely Plot, Is Born", Haaretz (in English), retrieved 2022-08-07 
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinky Friedman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.