Kingale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingale ni kata ya Wilaya ya Kondoa Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41703[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,152 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11003 [3] waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Kingale vyenye shule ya msingi ni Kingale yenyewe, King'ang'a, Tampori, Iyoli na Chemchem. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Kingale ni Warangi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. Sensa ya 2012, Dodoma - Kondoa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Kondoa Mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Bolisa | Chemchem | Kilimani | Kingale | Kolo | Kondoa Mjini | Serya | Suruke


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kingale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.