Kinembe (anatomia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kinembe ni kinyama kinachotokeza katika uchi wa mwanamke kinachomsaidia apate msisimko wakati wa kujamiana.

Ndiyo sehemu ya kwanza kulengwa na ukeketaji, ambao unazidi kufanyika hasa barani Afrika, ingawa unapingwa na wengi kwa misingi ya afya na haki za wanawake.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Kinembe (anatomia)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.