Kipozamataza
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kindoro)
Kipozamataza | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 21:
|
Vipozamataza ni ndege wadogo wa familia Alaudidae; spishi nyingine zinaitwa tuju au kindoro. Takriban spishi zote zina rangi ya kahawa na michirizi myeusi. Hawa ni ndege wa nyanda, spishi kadhaa tu zinapatikana misituni. Wanatokea mabara yote isipokuwa Amerika; spishi moja tu imefika huko. Hula mbegu hasa na wadudu pia. Madume huimba vizuri sana ili kuvutia majike na kuhadharisha madume mengine. Tago lao ni kikombe cha manyasi ardhini na jike huyataga mayai 2-6.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Alaemon alaudipes, Kipozamataza-hudihudi Mkubwa (Greater Hoopoe-lark)
- Alaemon hamertoni, Kipozamataza-hudihudi Mdogo (Lesser Hoopoe-lark)
- Alauda arvensis, Kipozamataza wa Ulaya (Eurasian Skylark)
- Alauda razae, Kipozamataza wa Raso (Raso Lark)
- Alaudala athensis, Tuju wa Athi (Athi Short-toed Lark)
- Alaudala rufescens, Tuju Mdogo (Lesser Short-toed Lark)
- Alaudala somalica, Tuju Somali (Somali Short-toed Lark)
- Ammomanes cinctura, Kipozamataza Mkia-miraba (Bar-tailed Lark)
- Ammomanes deserti, Kipozamataza-jangwa (Desert Lark)
- Ammomanopsis grayi, Kipozamataza wa Gray (Gray's Lark)
- Calandrella blanfordi, Tuju wa Blanford (Blanford's Lark)
- Calandrella brachydactyla, Tuju Mkubwa (Greater Short-toed Lark)
- Calandrella cinerea, Tuju Utosi-mwekundu (Red-capped Lark)
- Calandrella erlangeri, Tuju wa Erlanger (Erlanger's Lark)
- Calendulauda africanoides, Kipozamataza Hudhurungi (Fawn-colored Lark)
- Calendulauda albescens, Kipozamataza wa Karuu (Karoo Lark)
- Calendulauda alopex, Kipozamataza Kahawianyekundu (Foxy Lark)
- Calendulauda barlowi, Kipozamataza wa Barlow (Barlow's Lark)
- Calendulauda burra, Kipozamataza Mwekundu (Red au Ferruginous Lark]])
- Calendulauda erythrochlamys, Kipozamataza wa Namibia (Dune Lark)
- Calendulauda poecilosterna, Kipozamataza Kidari-rangipinki (Pink-breasted Lark)
- Calendulauda sabota, Kipozamataza Sabota (Sabota Lark)
- Certhilauda benguelensis, Kipozamataza wa Benguela (Benguela Long-billed Lark)
- Certhilauda brevirostris, Kipozamataza wa Agulhas (Agulhas Long-billed Lark)
- Certhilauda chuana, Kipozamataza Makucha-mafupi (Short-clawed Lark)
- Certhilauda curvirostris, Kipozamataza Kusi (Cape Long-billed Lark)
- Certhilauda semitorquata, Kipozamataza wa Transvaal (Eastern Long-billed Lark)
- Certhilauda subcoronata, Kipozamataza wa Namaland (Karoo Long-billed Lark)
- Chersomanes albofasciata, Kipozamataza Kucha-ndefu (Spike-heeled Lark)
- Chersomanes beesleyi, Kipozamataza wa Beesley (Beesley's Lark)
- Chersophilus duponti, Kipozamataza wa Dupont (Dupont's Lark)
- Eremalauda dunni, Kipozamataza wa Dunn (Dunn's Lark)
- Eremophila alpestris, Kipozamataza-milima (Horned au Shore Lark)
- Eremophila bilopha, Kipozamataza wa Temminck (Temminck's Lark)
- Eremopterix australis, Kindoro Kusi (Black-eared Sparrow Lark)
- Eremopterix leucopareia, Kindoro Mashavu-meupe (Fischer's Sparrow Lark)
- Eremopterix leucotis, Kindoro Masikio-meupe Chestnut-backed Sparrow Lark)
- Eremopterix nigriceps, Kindoro Paji-jeupe (Black-crowned Sparrow Lark)
- Eremopterix signatus, Kindoro Kichwa-chekundu (Chestnut-headed Sparrow Lark)
- Eremopterix verticalis, Kindoro Mgongo-kijivu (Grey-backed Sparrow Lark)
- Galerida cristata, Kipozamataza Kishungi (Crested Lark)
- Galerida macrorhyncha, Kipozamataza Magharibi (Maghreb Lark)
- Galerida magnirostris, Kipozamataza Domo-kubwa (Large-billed Lark)
- Galerida modesta, Kipozamataza Kishungi Mdogo (Sun Lark)
- Galerida theklae, Kipozamataza wa Thekla (Thekla Lark)
- Heteromirafra archeri, Kipozamataza wa Archer (Archer's Lark)
- Heteromirafra ruddi, Kipozamataza wa Rudd (Rudd's Lark)
- Heteromirafra sidamoensis, Kipozamataza wa Sidamo (Sidamo Lark)
- Lullula arborea, Kipozamataza-misitu (Woodlark)
- Melanocorypha bimaculata, Kipozamataza Madoa-mawili (Bimaculated Lark)
- Melanocorypha calandra, Kipozamataza Kalandra (Calandra Lark)
- Mirafra africana, Kipozamataza Kisogo-chekundu (Rufous-naped Lark)
- Mirafra albicauda, Kipozamataza Mkia-mweupe (White-tailed Lark)
- Mirafra angolensis, Kipozamataza wa Angola (Angola Lark)
- Mirafra apiata, Kipozamataza Mpigamabawa Kusi (Cape Clapper Lark)
- Mirafra ashi, Kipozamataza wa Ash (Ash's Lark)
- Mirafra cantillans, Kipozamataza Mwimbaji (Singing Bush Lark)
- Mirafra cheniana, Kipozamataza wa Latakoo (Melodious Lark)
- Mirafra collaris, Kipozamataza Mkufu (Collared Lark)
- Mirafra cordofanica, Kipozamataza wa Kordofani (Kordofan Lark)
- Mirafra degodiensis, Kipozamataza Habeshi (Degodi Lark)
- Mirafra fasciolata, Kipozamataza Mpigamabawa Kaskazi (Eastern Clapper Lark)
- Mirafra gilletti, Kipozamataza wa Gillett (Gillett's Lark)
- Mirafra hova, Kipozamataza wa Madagaska (Madagascar Lark)
- Mirafra hypermetra, Kipozamataza Mabawa-mekundu (Red-winged Lark)
- Mirafra passerina, Kipozamataza Sauti-moja (Monotonous Lark)
- Mirafra pulpa, Kipozamataza wa Friedman (Friedmann's Lark)
- Mirafra rufa, Kipozamataza Kutu (Rusty Bush Lark)
- Mirafra rufocinnamomea, Kipozamataza Torotoro (Flappet Lark)
- Mirafra somalica, Kipozamataza Somali (Somali Lark)
- Mirafra williamsi, Kipozamataza wa Williams (Williams's Lark)
- Pinarocorys erythropygia, Kipozamataza Kiuno-chekundu (Rufous-rumped Lark)
- Pinarocorys nigricans, Kipozamataza Mgongo-mweusi (Dusky Lark)
- Pseudalaemon fremantlii, Kipozamataza Mkia-mfupi (Short-tailed Lark)
- Ramphocoris clotbey, Kipozamataza Domo-nene (Thick-billed Lark)
- Spizocorys conirostris, Kipozamataza Domo-rangipinki (Pink-billed Lark)
- Spizocorys fringillaris, Kipozamataza wa Botha (Botha's Lark)
- Spizocorys obbiensis, Kipozamataza wa Obbia (Obbia Lark)
- Spizocorys personata, Kipozamataza Masharubu (Masked Lark)
- Spizocorys sclateri, Kipozamataza wa Sclater (Sclater's Lark)
- Spizocorys starki, Kipozamataza wa Stark (Stark's Lark)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Alauda gulgula (Oriental Skylark)
- Alauda japonica (Japanese Skylark)
- Alaudala cheleensis (Asian Short-toed Lark)
- Alaudala raytal (Sand Lark)
- Ammomanes phoenicura (Rufous-tailed Lark)
- Calandrella acutirostris (Hume's Short-toed Lark)
- Eremopterix griseus (Ashy-crowned Sparrow Lark)
- Galerida deva (Sykes's, Tawny au Sykes' Crested Lark)
- Galerida malabarica (Malabar Lark)
- Melanocorypha leucoptera (White-winged Lark)
- Melanocorypha maxima (Tibetan Lark)
- Melanocorypha mongolica (Mongolian Lark)
- Melanocorypha yeltoniensis (Black Lark)
- Mirafra affinis (Jerdon's Bush Lark)
- Mirafra assamica (Bengal au Rufous-winged Bush Lark]])
- Mirafra erythrocephala ([[w:Indochinese Bush Lark|Indochinese Bush Lark)
- Mirafra erythroptera (Indian au Red-winged Bush Lark)
- Mirafra javanica (Horsfield's au Australasian Bush Lark)
- Mirafra microptera ([[w:Burmese Bush Lark|Burmese Bush Lark)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kipozamataza-hudihudi mkubwa
-
Kipozamataza wa Ulaya
-
Kipozamataza wa Raso
-
Kipozamataza-jangwa
-
Kipozamataza wa Gray
-
Tuju mkubwa
-
Kipozamataza wa Agulhas
-
Kipozamataza wa Transvaal
-
Kipozamataza wa Stark
-
Kipozamataza-milima
-
Kindoro paji-jeupe
-
Kipozamataza kishungi
-
Kipozamataza wa Thekla
-
Kipozamataza-misitu
-
Kipozamataza kisogo-chekundu
-
Kipozamataza wa Madagaska
-
Oriental skylark
-
Ashy-crowned sparrow lark
-
Sykes's lark
-
Rufous-winged bushlark
-
Australasian bushlark