Nenda kwa yaliyomo

Kipozamataza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Eremalauda)
Kipozamataza
Kipozamataza makucha-marefu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Alaudidae (Ndege walio na mnasaba na vipozamataza)
Vigors, 1825
Ngazi za chini

Jenasi 21:

Vipozamataza ni ndege wadogo wa familia Alaudidae; spishi nyingine zinaitwa tuju au kindoro. Takriban spishi zote zina rangi ya kahawa na michirizi myeusi. Hawa ni ndege wa nyanda, spishi kadhaa tu zinapatikana misituni. Wanatokea mabara yote isipokuwa Amerika; spishi moja tu imefika huko. Hula mbegu hasa na wadudu pia. Madume huimba vizuri sana ili kuvutia majike na kuhadharisha madume mengine. Tago lao ni kikombe cha manyasi ardhini na jike huyataga mayai 2-6.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]