Kikonganyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa operesheni za kikonganyi

Katika utarakilishi, kikonganyi (pia: kikusanya[1]; kwa kiingereza: compiler) ni programu inayotumika kutafsiri msimbo wa tarakilishi ulioandikwa kwa lugha ya programu moja kwenda lugha ya programu nyingine. Kwa mfano, kikonganyi hutumika kwa lugha ya programu kama Python, JavaScript au Ruby.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sisi ni Sauti za Dunia: Miaka Mitano Baadaye · Global Voices in Swahili (sw). Global Voices in Swahili (2010-01-02). Iliwekwa mnamo 2020-11-09.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.